Wednesday, January 25, 2012

JK USO KWA USO NA DK SLAA IKULU D'SALAAM


 Rais JAKAYA KIKWTE akiwa na baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.




 Rais JAKAYA KIKWETE katika mjadala na Viongozi wa kitaifa wa CHADEMA Ikulu jijini D'salaam



 MAHASIMU:Rais JAKAYA KIKWETE akisalimiana na Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA,Dk WILBROAD SLAA Ikulu jijini D'salaam.


No comments:

Post a Comment