Monday, November 14, 2011

NAPE AZINDUA TAWI LA CCM LA MTAA WA PAMBA HOUSE JIJINI DAR!

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizindua tawi la CCM la Mtaa wa Pamba House, jijini Dar es Salaam, leo. Licha ya mvua iliyokuwa ikinyesha uzinduzi huo ulijaa shamra shamra nyingoi.
Nape (kushoto) akiungana na wanachama kushangilia baada ya kuzindua tawi la CCM la Mtaa wa Pamba House, jijini Dar es Salaam, leo.
                 Wanachama wapya wa tawi hilo wakila kiapo baada ya kupatiwa kadi na Nape
Nape akihutubia wakati wakihutubia baada ya kufungua tawi la CCM mtaa wa Pamba House jijini Dar es Salaam.
                  Nape akiagwa kwa furaha na wanachama wa tawi hilo baada ya hafla kumalizika

No comments:

Post a Comment