Tuesday, July 26, 2011

MTAFITI NA MGUNDUZI WA MADINI YA TANZANITE AOMBA SERIKALI ASILIMIA YA MAPATO!

Mtafiti na Mgunduzi wa madini ya Tanzanite pamoja na Gypsum, JUMANNE NGOMA ameilalamikia serikali kwa kushindwa kumpatia asilimia ya mapato ya fedha zitokanazo na uuzwaji wa madini hayo nje ya nchi.
Akizungumza na kituo hiki Jijini DSM katika Mgunduzi huyo amesema anashindwa kufahamu mpaka sasa Serikali imekuwa ikiingiza mapato kiasi gani kupitia madini hayo.


Nae ASHA NGOMA ambae ni mtoto wa mtafiti huyo amesema kama mpaka sasa hawajafaidika na ugunduzi huo kutokana na serikali kushindwa kuipatia familia hiyo asilimia ya fedha zitokanazo na Tanzanite ambayo imegunduliwa na Baba yao.

No comments:

Post a Comment