![]() |
| Wadau wa mkoani Mbeya wakishoo love mbele ya kamera ya Fullshangwe. |
![]() |
| Wachezaji wa timu ya mashabiki wa Manchester United na Barcelona wakichuana vikali katika mchezo wa fainali ya bonanza hilo. |
![]() |
| Mashabiki wa Manchester United wakishangilia kwa nguvu mara baada ya timu ya kutinga fainali ya bonanza hilo. |
![]() |
| kutoka kulia ni Freddy Richard wa SBL Mbeya, Alex Lwambano, Sebastian Maganga na Jonathan Maselle SBL Mbeya wakifuatilia jambo katika tamasha hilo. |
![]() |
| Mashabiki wa tamasha la serengeti Fiesta Soccer Bonanza wakifuatilia matukio mbalimbali katika tamasha hilo. |
![]() |
| Akiana Meku wanapokutana ni kupanga dili ya hela tu hebu wacheki akina Meku hawa wanapanga dili za hela au wanafurahia maisha. |
![]() |
| Mashabiki wa Bonaza hilo wakiwa wamefurika katika viwanja vya TIA jijini Mbeya. |














No comments:
Post a Comment