Tuesday, June 5, 2012

MKOA WA DODOMA WAZINDUA KAMPENI YA UHAMASISHAJKI WANANCHI JUU YA UPIMAJI WA AFYA NA UCHANGIAJI WA DAMU!


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye kampeni hiyo.
                            Baaadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye kampeni hiyo ya afya.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akikata utepe kuzindua kampeni hiyo ya afya, wanaomfuatia kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri yua Hospitali ya Rufaa ya Dodoma Mhe. Balozi Job Lusinde na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Ezekiel Mpuya.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (kulia) akichukuliwa damu kidoleni na Mtaalamu wa afya Bi. Marry Muhanga kwa ajili ya kufanyiwa vipimo wkati wa kampeni hiyo ya afya.
Miongoni mwa maeneo ya kufanyia vipimo yaliyopata wau wengi kwenye kampeni hiyo ya afya ni eneo la kutolea ushauri nasaha na kupima VVU.

No comments:

Post a Comment