Friday, May 4, 2012

SHUGHULI ZA KATIBU MKUU WA CCM, WILSON MUKAMA LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza na Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma-Kapijimpanga, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, leo May 4, 2012 (Picha na Bashir Nkoromo).

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na ujumbe wake (kulia) wakizungumza na Mjumbe wa  Kamati Kuu ya Chama Cha Frelimo, Conceita Sortane (wapili kushoto) katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Mei 4, 2012. Kulia ni Balozi wa Msumbiji hapa nchini Amour Zacharias Kupela. na Kushoto ni Mjumbe wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye.

No comments:

Post a Comment