Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akizindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki leo katika Uwanja wa Ngaresero.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akimnadi mgombea ubunge wa tiketi ya CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi huo kwenye Uwanja wa mpira wa Ngaresero leo.
Pamela Sioi Sumari akimnadi mumewe Sioi Sumari wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo za CCM. Pamela ni mtoto wa Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa.
Masanja wa Orijino Komedi akifanya manjonjo yake mbele ya umati, wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM leo.
"Wenzetu alama yao ni hii hapa, haina maana yoyote ityoeni", ndivyo alisema Kaaya kisha akakitupa hicho kijiti alichokuwa akionyesha. Kushoto ni mratibu wa kampeni za CCM kitaifa Mwigulu Nchemba.
Mratibu wa kampeni za CCM, jimbo la Arumeru Mashariki Mwigulu Nchemba akiongoza msafara wa waendesha pikipiki kuingia uwanjani kwenye uzinduzi kampeni za CCM. Kulia ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Martine Shigella.
Wananchi wakishangilia wakati msafara wa Mkapa ulipopita mitaani kwao kwenye kwenye Uwanjani kuzindua kampeni za CCM.
No comments:
Post a Comment