Friday, February 10, 2012

JK KATIKA MAZISHI YA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAZEE WA CCM DODOMA‏

 Rais jakaya kikwete akitia mchanaga katika kaburi la Mrehemu Mzee Omar Selemani ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Dodoma. Mzee Suleiman alifariki



Rais Jakaya Mrisho KLikwete katika mazishi ya Mzee Omar Selemani ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Dodoma. Mzee Suleiman alifariki dunia hospitalini ya mkoa wa Dodoma jana tarehe 9 Februari, 2012 alikokuwa amelazwa kwa matibabu.


 Rais JAKAYA KIKWETE akiwa na baadhi ya waombelezaji katika msiba huo mjini DODOMA.

 Rais JAKAYA KIKWETE akiwa na baadhi ya waomolezaji wakisimama kwa swala maalum ya kumuombea marehemu.

No comments:

Post a Comment