Sunday, February 12, 2012

RASHIDI MATUMLA AOMBA KUSAPOTIWA NA KAMBI YA ILALA AFULIWA KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE MWINGINE NA MANENO OSWARD


 anajiandaa na mpambano wake mwingine dhidi ya Maneno Osward litakalofanyika tarehe 25 katika ukumbi wa PTA sabaKocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi Nchini Habib Kinyogoli (kulia) akimuelekeza Bondia Rashid Matumla 'Snake Man' jinsi ya kurusha ngumi wakati bondia huyo alipotembvelea kwa ajili ya kujifua katika kambi Ilala,Dar es Salaam jana.Matumla saba,Dar es Salaam.

Kocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi Nchini Habib Kinyogoli (kulia) akimuelekeza Bondia Rashid Matumla 'Snake Man' jinsi ya kurusha ngumi wakati bondia huyo alipotembvelea kwa ajili ya kujifua katika kambi Ilala,Dar es Salaam jana 


No comments:

Post a Comment