Mkurugenzi wa Banki ya NIC Tanzania James Muchiri ,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya Shilingi milioni Mbili na laki nne 2.4 kwa hospitali ya CCBRT kwa ajili ya wagonjwa wenye, matatizo ya ulemavu katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Erwin Telemans.
Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Erwin Telemans akitoa neno la shukurani kwa uongozi wa Benki ya NIC Tanzania baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi Milioni 2.4 kwa ajili ya wagonjwa wenye, matatizo ya ulemavu katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Benki ya NIC Tanzania James Muchiri.
Mkurugenzi wa Benki ya NIC Tanzania James Muchiri, akimkabidhi hundi ya shilingi Milioni 2.4 Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Erwin Telemans kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya ulemavu katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment