Tuesday, January 31, 2012

JENGO JIPYA LA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRIKA ADDIS ABABA

 Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) lililozinduliwa leo na Rais wa China Bw Hu Jintao jijini Addis Ababa leo January 29,2012


Jengo hili, limegharimu dola milioni za Kimarekani, limejengwa kwa udhamini wa China
 
Muonekano wake kwa mbali kidogo.


No comments:

Post a Comment