Monday, November 28, 2011

BREAKING NEEEEEEEEEEWS! SOKO LA TUNDUMA MKOANI MBEYA LATEKETEA KWA MOTO!

                      Baadhi ya wafanyabiashara wakijaribu kuokoa mali zao sokoni hapo.
                                   Baadhi ya watu wakishuhudia moto huo.

Habari zilizotufikia punde chumba cha habari zinasema kuwa moto mkubwa unaendelea kuteketeza soko la Tunduma mkoani Mbeya ambapo kuna vibanda vya soko hilo vinaendelea kuteketea.



Kamanda wa Polisi mkoani humo ADVOCATE NYOMBI amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema moto huo umeanza saa 11 jioni na hadi sasa chanzo chake hakujajulikana.

No comments:

Post a Comment