Sunday, October 23, 2011

PICHA HII IMEKUPITA? SHUHUDIA AJALI YA NDEGE ARUSHA ILIVYOKUWA!

Picha ya ndege iliyo dondoka ikitoka KIA ambapo kulikuwa na Pilot aliyefariki dunia papo hapo anatambulika kwa jina la Ally na abiria mwingine ambae yupo KCMC kwa matibabu zaidi. Picha na Latest news Tz Blog.

No comments:

Post a Comment