Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tiba IMTU wameiomba serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kushughulikia malalamiko waliyoyatoa dhidi ya uongozi huo ambayo yamesababisha kufugwa kwa chuo hicho takribani miezi miwili sasa.
Akizungumza na kituo hiki mbele ya Ofisi za Wizara ya Elimu, Rais wa serikali ya Wanafunzi YALINI CHACHA amesema licha ya uongozi wa chuo hicho kuendelea kutoza ada kwa dola umeendelea kufunga chuo hicho bila kutoa maelezo yoyote.
Chuo Kikuu IMTU
No comments:
Post a Comment