Sunday, June 26, 2011

MISS VODACOM SINZA & MWANZA ILIVYOKUWA MWISHONI MWA WIKI!


Warembo wa Vodacom miss Sinza waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora wakiwa katika picha ya pamoja.

Vodacom miss Sinza Felista Philip akipunga mkono baada ya kutwaa taji hilo katika shindano lililofanyika jana ukumbi wa Vatican City. kushoto ni mshindi wa tatu Husna Maulid na mshindi wa pili Naomi Jones.
Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam, Bw. Songoro Mnyonge akimkabidhi mshindi wa kwanza wa Vodacom Miss Sinza Felista Philip zawadi ya shilingi 600,000. Kutoka kulia ni mshindi wa tatu Husna Maulid ,mshindi pili Naomi Jones wakishuhudia.

Warembo waliofikia hatua ya tano bora katika shindano la Vodacom Miss Mwanza kutoka kulia ni Ester Laurent, Monica James, Diana James, Irene Kalugaba na Flora Lazaro.

Vodacom Miss Mwanza 2011 Irene Kalugaba akiwa kwenye picha pamoja na mshindi wa pili Flora Lazaro (kulia) na mshindi wa tatu Monica James, katika shindano hilo lilifanyika kwenye hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.

Vodacom Miss Mwanza Irene Kalugaba akiwa katika picha ya pamoja na mwandaaji wa shindano hilo Bw. Dotto kulia na Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza RPC Saimon Sirro.

No comments:

Post a Comment