Wednesday, June 13, 2012

WAREMBO WA MISS DAR INTERCOLLEGE 2012 WATEMBELEA DUKA LA SHEAR ILLUSIONS MLIMANI CITY, DAR!

                                                    Picha ya pamoja kwa warembo.
Mmoja ya wafanyakazi wa duka la Shear Illusions la Mlimani City jijini Dar akitoa maelezo kwa warembo wa Miss Dar Inter College.
Warembo wa Miss Dar InterCollege wakigawiwa zawadi na mwalimu wao Marlydia Boniface (wa kwanza kulia) ambazo walipewa mara baada ya kutembelea duka la Shear Illusions ambao ni wadhamini wa shindano hilo. Picha/www.kajunason.blogspot.com.

No comments:

Post a Comment