Monday, June 4, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA SOMALIA ARUSHA LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Sheikh Shariff Ahmed aliyekutana naye leo june 2, 2012 jijini Arusha.

Pamoja na mambo mengine Rais Kikwete na mgeni wake waliongelea hali ya usalama katika nchi hiyo ya pembe ya Afrika na pia akamhakikishia Rais huyo ushirikiano wa kila aina katika kuhakikisha utulivuunare nchini Somalia

                              


No comments:

Post a Comment