Baadhi ya kinamama wa Kijiji cha Mererani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wakifurahia jambo wakati walipokuwa wakiongea na Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,(hayupo pichani) mara alipofika kijijini hapo kutoa mikopo ya kifedha kwa vikundi mbalimbali vya kinamama,Mikopo hiyo urudishwa kwa njia ya m-pesa bila riba,Huduma hiyo hutolewa na Vodacom Foundation kupitia Mradi wa MWEI,zaidi ya kinamama 108 walifaidika na Mkopo huo wa kiasi cha Shilingi Milioni tisa na laki saba,(9,700,000) |
No comments:
Post a Comment