JOSEPH ADRIAN MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA MASHINDANO YA MODAL 24.
Jinsi ya kumpigia kura ingia web; www.project.badoo.com, utakuta picha ya Joseph Adriani unachotakiwa kufanya ni kulike hizo picha au link (theproject.badoo.com/gallery).
Huyu ni mwanamitindo wa kwanza wa kiume ambaye anafanya kazi zake nje ya Tanzania naomba tumsaidie ili aweze kufika malengo yake. Joseph Adriani alishawahi kufanya muziki na alishashiriki katika shindano la Bongo Star Search 2008 na alifanikiwa kuingia katika 10 bora.
No comments:
Post a Comment