Wednesday, February 1, 2012

ONYESHO LA LADY IN READ 'RELOADED' 2012 KUCHANGISHA PESA KWA AJILI YA KUJENGA KITUO CHA KUSAIDIA WAATHIRIKA WA MADAWA YA KULEVYA

Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin (wa pili kulia) wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red 'Reloaded ' 2012 akiwa katika mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia onyesho linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kulia ni Bw. Mauldi Mlawa ambaye ni Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care kilichipo wilayani Rufiji na Meneja wa kinywaji cha Redds Original, Victoria Kimaro ambao ni wadhamini wakuu wa onyesho hilo. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 30 ambao wataonyesha mavazi yao.

Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red 'Reloaded ' 2012 akiwa katika mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia onyesho linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mauldi Mlawa ambaye ni Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care kilichipo wilayani Rufiji. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha  

 Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin (wa pili kulia) wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red 'Reloaded ' 2012 akiwa katika mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia onyesho linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kulia ni Bw. Mauldi Mlawa ambaye ni Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care kilichipo wilayani Rufiji na Meneja wa kinywaji cha Redds Original Victoria Kimaro ambao ni wadhamini wakuu wa onyesho hilo. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 30 ambao wataonyesha mavazi yao.

Meneja wa kinywaji cha Redds Original Victoria Kimaro ambao ni wadhamini wakuu wa onyesho hilo pembeni yake ni Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red 'Reloaded ' 2012 pamoja na Bw. Mauldi Mlawa ambaye ni Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care kilichipo wilayani Rufiji. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 30 ambao wataonyesha mavazi yao.


Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care kilichopo wilayani Rufiji Bw. Mauldi Mlawa akifafanua jambo kuhusu kituo maalum cha kusaidia waathirka wa dawa za kulenywa kiitwacho "Kikale Youth Care Group" kinachotarajiwa kufunguliwa Rufiji ambapo Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onyesho la Lady and Red 'Reloaded ' 2012 atachangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo. Kushoto ni Meneja wa kinywaji cha Redds Original Victoria Kimaro ambao ni wadhamini wakuu wa onyesho hilo. Picha na Habari na C.A. Kajuna, Kajunason


No comments:

Post a Comment