Monday, February 27, 2012

MIAKA 50 YA CHAMA TAWALA CHA BOTSWANA - BOTSWAN DEMOCRATIC PARTY (BDP) MJINI GABORONE!

Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, Makamuw a rais wa Afrika Kusini Bw Kgalema Nontlanthe, na Marais Wastaafu wa Botswana Sir Ketumile Masire ( wa pili shoto) na Bw Festus Mogae, wakijiandaa kukata keki ya sherehe hizo katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Botswana  February 25, 2012
Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, Makamuw a rais wa Afrika Kusini Bw Kgalema Nontlanthe, na Marais Wastaafu wa Botswana Sir Ketumile Masire ( wa pili shoto) na Bw Festus Mogae, wakiwa chini ya mti wa Marula ambako miaka 50 ilopita BDP ilizaliwa.
Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, wakimshangilia Rais wa Zamani wa Botswana Sir Kitumile Masire akifunua kitambaa kuweka bango la mahali ilipozaliwa BDP
Mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama, Makamuw a rais wa Afrika Kusini Bw Kgalema Nontlanthe, na Marais Wastaafu wa Botswana Sir Ketumile Masire ( wa pili shoto) na Bw Festus Mogae, wakimwangalia Rais wa zamani wa Botswana akiwasha mwenge chini ya mti wa Marula palikoanzishwea BDP.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment