Sunday, February 26, 2012

MAMA ASIA IDAROUS KHAMSIN ASHEREKEA KUFIKISHA MAONYESHO 1001

                                                    Keki ya kutimiza shows 100 za Mitindo.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Gadner Habash ambaye ni mmiliki wa mgahawa wa Nyumbani Lounge katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mmoja ya wanamziki wa Kalunde bandi na Deo Mwanambilimbi ambaye ni mmiliki wa bendi hiyo katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa Belina Mgeni katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa Mtindo Asia Idarous Khamsin akimkabidhi cheti cha shukrani kwa mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Kajuna katika sherehe ya kusherehekea kutimiza maonyesho 100 iliyofanyika mgahawa wa Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam. Picha zote na Kajunason Blog.

No comments:

Post a Comment