
Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa matunda wa kumbukumbu katika eneo la Chuo cha VETA cha Wilayani Makete mkoa wa Iringa, baada ya kuweka jiwe la msingi katika chuo hicho ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya mkoani Iringa jana Februari 27, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
No comments:
Post a Comment