Sunday, January 22, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AOONGOZA MAMIA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU JEREMIAH SUMARI VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DSM!

su1: Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Marehemu Jeremiah Sumari likiwasili katika uwanja wa Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo January 21, 2012 tayari kwa kupewa heshma za mwisho.


                                             Rais Kikwete akitoa heshima zake za mwisho.
                                         Rais Kikwete akimpa pole mjane Mama Miriam Sumari.
                    Rais Kikwete akiongoza umati mkubwa wa waombolezaji katika halfa hiyo.
Rais Kikwete, Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman, Spika Anne Makinda na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe kwenye hafla hiyo...PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment