Monday, November 28, 2011

WANAMITINDO WA KINYUMBANI WATINGISHA JIJI LA MARYLAND USA!

 Mnauona mtindo huu? Hivi ndivyo nilivyong'arishwa katika usiku huu wa wanamitindo kutoka nyumbani.
                      Wamasai mpoooo, nawawakilisha huku Marekani msijione mko wapweke.
                              Kimtandio zaidi, hata huku ughaibuni kivazi hiki kinatumika pia.
     Hapa sio khanga moja, ni vazi la khanga lililobuniwa maalum kabisa kwa ajili ya mtoko.
                                                 Mtake msitake kiukweli nimependeza jamani......
                      Muongoza onesho letu naye akiwa ametoka kimitindo zaidi. Hongera dada!
                 Kivazi hiki kinampendeza kila mtu, jaribu kukivaa utaona utakavyopendeza mamitoo!
                 Kikazi zaidi, vazi hili limebuniwa na kuweza kutumika hata kwa mtoko wa usiku.
Mnaniona nilivyopendeza? Ila ni vizuri ukiwa na mguu wa kuvalia gauni fupi kama ilivyo kwangu.!
                 Haya ndiyo mambo ya tight! Unaweza ukaivaa na ikakutoa kama ukiwa na top dress!

No comments:

Post a Comment