Monday, November 28, 2011

WAFANYAKAZI CHUO CHA BIASHARA CBE WAFANIKISHA SHEREHE YA KITCHEN PARTY YA ANTILIDA!

Wafanyakazi wa Chuo cha Biashara cha CBE walivyofanikisha sherehe ya Kitchen Party ya Antilida ambaye ni mdogo wake na Pricila sherehe hiyo ilifanyika jana katika ukumbi wa Princeses uliopo Mapambano Sinza jijini Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni Rose Makoha , ambaye ndiye aliyekuwa MC wa shughuli hiyo katikati ni Pricila na dada yake wakiwa katika pozi la Kitchen Party.
Bibi harusi mtarajiwa Antilida kushoto akiwa katika pozi la picha na dada yake Pricila na mpambe wake.
Wafanyakazi wenzake na Pricila wakiwa katika picha ya pamoja hawa ndio waliofanikisha shughuli nzima .
Wafanyakazi wa Chuo cha Biashara CBE wakiserebuka kwa aina yake wakati wa sherehe ya Kitchen Party ya Antilida iliyofanyika katika ukumbi wa Princeses jijini Dar es Salaam.
                    Mama mzazi wa bibi harusi mtarajiwa Antilida kushoto akiwa na mdogo wake.

No comments:

Post a Comment