Monday, November 28, 2011

MTORO ALMASI AUKWAA UKATIBU WA KAMISHENI YA UTUMISHI WA UMMA ZANZIBAR!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akimuapisha Mtoro Almasi Ali,kuwa Katibu wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
                           Katibu wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma aapishwa Mtoro Almasi Ali.
Katibu wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma aapishwa Mtoro Almasi Ali,akitia saini hati ya kiapo baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo, Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akitia sainin hati ya kiapo baada ya kumuapisha Mtoro Almasi Ali,kuwa Katibu wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akibadilishana mawazo na Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad,(kulia) na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,baada ya kumuapisha Mtoro Almasi Ali, kuwa Katibu wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments:

Post a Comment