Monday, November 7, 2011

NAPE AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA MAREKANI NA MALECELA!

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa na Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Ombeni Sefue alipomtembelea ofisini kwake mjini Washington DC, juzi. (Picha:Itikadi na Uenezi CCM).
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa na Mzee Samwel Malecela na mkewe Anne Kilango Malecela nchini Marekani, juzi.(Picha: Itikadi na Uenezi CCM).

No comments:

Post a Comment