Sunday, July 24, 2011

USIKU WA VODACOM NA WABUNGE ULIVYOKUWA MJINI DODOMA!

Spika wa Bunge Anne Makinda akikaribishwa na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare kwenye hafla ya usiku wa Vodacom(Meet & greet) iliyoandaliwa kwa wabunge na Kampuni ya Vodacom. Katikati ni Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano, Mwamvita Makamba.

Mkuu wa Kambi ya Upinzani, Bungeni, Freeman Mbowe na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare wakiteta jambo wakati wa hafla hiyo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare wakiteta jambo.

Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom, Mwamvita Makamba (katikati) akijumuika na baadhi ya wabunge kucheza mziki wakati wa hafla hiyo.
MKurugenzi wa Vodacom Tanzania,Dietlof Mare akiteta jambo na Balozi wa jumuia ya Ulaya Tim Clark.

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akicheza mziki na baadhi ya wabunge wakati wa hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment