Monday, June 13, 2011

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI NEW YORK-MAREKANI!

Sehemu ya watanzania waishio New York na vitongoji vyake, wakianza kukusanyika kwa ajili ya kujiandaa kumpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kwa ajili ya kukutana na kuzungumza nao jana Juni 11, 2011. Picha Zote na Muhidin Sufiani-OMR


 Idd mtoto wa Kawe jijini Dar es Salaam, (kulia) akijumuika na wadau wenzake katika hafla hiyo ya wabongo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal na mkewe, Mama Zakhia Bilal, Balozi Obeni Sefue na Waziri Juma Duni Haji, wakisimama na kuimba wimbo wa maalum baada ya kuwasili kwenye eneo la hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment