Thursday, June 30, 2011

EWURA YAJIPANGA KUISHINIKIZA SERIKALI ISHUSHE BEI YA MAFUTA!

Mamlaka ya udhibiti wa nishati na maji, EWURA, imeadhimia kushughulikia gharama ya bei ya mafuta ya taa nchini ili kumwezesha mwananchi wa kawaida kumudu gharama hizo.

Akizungumza katika maandalizi ya maonyesho ya Saba Saba yanayoendelea Jijini Dar es salaam, Mkuu wa Idara ya Uhusiano, EWURA, TITUS KAGUO, amesema Wananchi hawanasababu ya kuwa na hofu juu ya gharama za mafuta hayo kufuatia kiwango cha kodi yake kuwa cha kuridhisha.

No comments:

Post a Comment