Monday, June 4, 2012

NAPE ANOGESHA MISS SINGIDA 2012.


Mh NAPE akiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa Miss Singida 2012. 



 Mabinti waliofanikiwa kuingia katika 5 Bora.

Malkia wa Mipasho HADIJA KOPA akikamua.

Nape baada ya kukolea na mipasho ya Malkia Hadija Kopa.

No comments:

Post a Comment