Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Barabara Mkoa wa Dodoma na Kamati ya Ushauri ya Mkoa wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi wa kikao cha Bodi kilichofanyika jana sambamba na kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa kwenye ukumbi wa mikutano St. Gasper Mjini Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akitoa hotuba fupi wakati akifungua kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Dodoma kilichofanyika jana sambamba na kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa kwenye ukumbi wa St. Gasper Mjini Dodoma, kulia ni baadhi ya Wajumbe wa Kikao wakimsikiliza kwa makini
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (katikati) akitoa hotuba fupi wakati akifungua kikao cha bodi ya barabara Mkoa wa Dodoma kilichofanyika Jana sambamba na kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa kwenye ukumbi wa mikutano St. Gasper Mjini Dodoma, kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Mhe. Ezekia Chibulunje (MB) na kushoto ni Katibu Tawala Mkoa Bi. Rehema Madenge.
No comments:
Post a Comment