Tuesday, January 31, 2012

Samwel Daniel na Kaindi Taratibu wameremeta


Wakiwa na nyuso za furaha bwana harusi Samwel  Daniel  na mkewe Kaindi  Taratibu wakiwa kwenye pozi la  picha baada ya kufunga ndoa yao katika ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kibaha hivi karibuni na kufuiatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbio wa Mbezi   Luxiry jijini Dar es Salaam

 .Hayawi hayawi ....hatimaye yamekuwa .. bwana harusi Samwel  Daniel  na mkewe Kaindi  Taratibu wakiwa kwenye pozi la  picha baada ya kufunga ndoa yao katika ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kibaha hivi karibuni na kufuiatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbio wa Mbezi   Luxiry jijini Dar es Salaam

Bw.harusi Samwel akiwa na mkewe Kaindi wakishuka kutoka katika mlima kilimanjaro uliopo eneo la Mabibo jijini Dar es Salaam, walipokwenda kufanya utalii wa ndani.Baada ya kufunga ndoa yao kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Januari 28.

 
Makaka wa bwana harusi wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa sherehe ya harusi ya mdogo wao .

Bw. Harusi akipita juu ya migongo ya wazazi wake wakati wa kuingia ukumbini wakati wa harusi yake iliyofanyika katika ukumbi wa Mbezi Luxiry jijini ,Dar es Salaam.utamaduni huu hufanywa na watu wa lindi kabaila la wayao.


Bwa na Bibi Harusi wakishuka katika gari tayari kwa kuingia ukumbini.


No comments:

Post a Comment