Tuesday, November 15, 2011

MAKAMU WA RAIS APOKEA MADAI YA WANANCHI KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Kongamano la Msafara wa kuelekea katika mkutano wa mabadfiliko ya Tabia Nchi unaotarajia kufanyika Durban Afrika ya Kusini mwezi ujao. Kongamano hilo limefanyika leo Novemba 15, 2011 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Madai ya Wananchi ya Namna ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia nchi, kutoka kwa Mwanaharakati wa Mabadiliko ya tabia Nchi, Laurence Chuma, wakati wa Kongamano la Msafara wa kuelekea katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabia Nchi unaotarajia kufanyika Durban Afrika ya Kusini mwezi ujao. Kongamano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2011. Katikati ni Mwakilishi wa Asasi za Mabadiliko ya Tabia Nchi, Rebecca Muna. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.

No comments:

Post a Comment