BAADA YA KUWA KATIKA KIPINDI CHA MAREKEBISHO KWA TAKRIBANI WIKI MOJA BLOG YAKO YA JAMII YA THEEASTAFRICA 'TEKNOHAMA KWA UELEWA' SASA ITARUDI KATIKA MUONEKANO WAKE WA KAWAIDA WA KUKUJUZA HABARI MOTOMOTO ZA KILA SIKU AMBAZO ZITAKUELEIMISHA, KUKUHABARISHA NA KUKUBURUDISHA.......
AIDHA NAWE KAMA UNA TUKIO AU HABARI AMBAYO HAIKIUKI MAADILI YA MTANZANIA TAFADHALI USISITE KUTUTUMIA ILI TUICHAPISHE HAPA NA WATU WENGINE WAWEZE KUIONA.
TUNAKARIBISHA PIA MAONI KUHUSIANA NA TAARIFA ZETU ZINAZOCHAPISHWA HAPA. KARIBUNI!
No comments:
Post a Comment