Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Bwana. DEOGRATUS PHILIPO mwenye miaka 31 kwa kumbaka na kumlawiti mtoto wake mwenye umri wa miaka 9 na kumsababishia maumivu makali huku akimharibu vibaya sehemu zake za siri.
Kaimu Kamanda wa PoLISI Mkoani Shinyanga Onesmo Lyanga amesema kuwa kugundulika kubakwa kwa mtoto huyo iligundulika tarehe 20 mwezi huu huko nyumbani kwake Ngokoro majira ya saa moja jioni.
Kugundulika kuwa baba huyo anambaka mtoto wake, alikuwa analala naye chumba kimoja usiku tangu mama yake alipoachwa mwezi February mwaka huu, uchunguzi wa daktari umebaini kuwa mtoto huyo ameharibika vibaya sana na mtuhumiwa anashikiliwa na polisi wa uchunguzi.
No comments:
Post a Comment