Monday, February 20, 2012

MTATIRO AWAJIA JUU WANACUF WALIOJIENGUA KWENYE CHAMA!

Baada ya Wanachama watatu wa Chama Cha Wananchi CUF, Hapo jana kutangaza kujiuzulu uanachama wao, Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Bara Bwana JULIUS MTATIRO, ameeleza kuwa hatua ya kujiuzulu kwa wanachama hao imekuja huku Baraza kuu la Taifa likiwa katika mchakato wa kuwa chukulia hatua za kinidhamu.



Wajumbe wa Baraza hilo waliotangaza kujiuzulu nyadhifa zao zote za Uongozi ndani ya Chama hicho hapo jana ni pamoja na JUMA KILLAGHAI, ABUBAKAR RAKESH na Mjumbe wa Sekretarieti ya Vijana Taifa, OMAR COSNTANTINO.

No comments:

Post a Comment