Bondia Maneno Osward akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika katika ukumbi Wa PTA sabasaba jumamosi ya Feb 25 (kushoto) ni mpinzani wake Rashidi Matumla kulia ni katibu wa PST, Anton Luta.
Bondia Furaha Nganda akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika jumamosi feb 25 na bondia Monica Mwakasanga kushoto kulia ni Katibu wa Shilikisho la ngumi za Kulipwa Tanzania PST Anton Luta.
Mabondia Antoni Mwakapalila akitunishiana misuri na bondia Shabani Kaineko baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa kirafiki utakaofanyika Kesho katika ukumbi wa PTA Sabasaba.
Bondia Shabani Kaineko akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Antoni Mwakapalila utakaofanyika katika ukumbi wa PTA sabasaba kesho kulia ni Katibu wa Shilikisho la ngumi za Kulipwa Tanzania PST Anton Luta(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).
No comments:
Post a Comment