Mrembo aliyeshinda taji la Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu ameshinda taji la Miss Southern Afrika International 2011 katika mashindano yaliyofanyika Ndola nchini Zambia na kushirikisha warembo kutoka nchi mbalimbali za kusini na mashariki mwa Afrika. Nelly aliyepata mwaliko wa kushiriki mashindano hayo kupitia bodi ya Utalii Tanzania (TTB) ameshinda taji hilo jumapili ya Juni 27 mwaka huu.Fursa hiyo imemsaidia Nelly kupata uzoefu kabla ya kwenda katika mashindano ya Miss Universe kimataifa mwezi wa nane na tisa mwaka huu.
Mashindano hayo mbali ya kujenga mshikamano miongoni mwa nchi za kiafrika yanalenga pia kuvutia na kutangaza utalii wa nchi washiriki.Mbali na kuhsiriki shindano la urembo,wakiwa nchini Zambia warembo washiriki akiwemo Nelly walihsiriki na kufanya kazi mbalimbali za kijamii kama vile kutembelea hospitali za watoto na vituo vya kulelea watoto na kushiri maonyesho ya kimataifa ya biashara nchini humo.
Ukiondoa Tanzania nchi nyingine za Afrika zilizoshiriki ni Namibia, Zambia, Lesotho, Afrika ya Kusini, Botswana, Zimbabwe, Swaziland, Congo, Malawi na Msumbiji. Nyota ya Nelly ilianza kung’ara pale aliposhinda taji la Miss Universe katika shindano lililodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania ikiwa ni sehemu ya azma ya kampuni hiyo ya kuibua,kuendeleza na kulinda vipaji vya vijana wa kitanzania katika sanaa na michezo.
Azma hiyo inalenga kuwapatia fursa vijana ya kujiendeleza kimaisha kupitia vipaji pamoja na kutimiza ndoto walizonazo katika sanaa. Kwa kushikilia taji la Miss Southern Afrika Internation Nelly anawajibu wa kutoa elimu kwa jamii juu ya saratani ya matiti na mfuko wa uzazi na atakuwa balozi wa nia njema wa mtandao wa saratani ya matiti na mfuko wa uzazi Zambia. Aidha ushindi huo umempatia Nelly pamoja na zawadi mbalimbali mshahara wa kwacha millioni moja.
Tuesday, July 5, 2011
NDUNDU PARTY YA SALUM NG'ANZI ILIVYO 'HAPPEN' KWENYE UKUMBI WA BOMBO JIJINI TANGA!
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Zarina Madabida (MB) akicheza muziki na baadhi ya wageni waalikwa wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ ya Pharmacist Salum Ng’anzi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki. Ng’anzi anatarajia kupata jiko hivi karibuni.
Mdau wa www.theeastafrica.blogspot.com Jerome Risasi (Kulia) akiwa na Bwana Harusi Mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
Meneja wa duka kubwa la nguo la Modern Day lililopo Mlimani City Da Asia Membe akiwaonesha baadhi ya wageni waalikwa zawadi iliyoandaliwa kwa ajili ya Bwana harusi mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki. Ng’anzi anatarajia kupata jiko hivi karibuni.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Zarina Madabida (MB) wa pili kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na mama mzazi wa Bwana Harusi mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi, mdau wa www.theeastafrica.blogspot.com wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Zarina Madabida (MB) Kushoto akiwa na Bwana Harusi Mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi na mama yake mzazi Mariam Ng’anzi wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
Mdau wa www.theeastafrica.blogspot.com Jerome Risasi (Kushoto) akiwa nje ya ukumbi na ndugu na jamaa waliohudhuria kwenye hafla ya ‘Ndundu Party’ ya Pharmacist Salum Ng’anzi (Wa pili kulia) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
Dada zake Bwana Harusi Mtarajiwa ‘Twins’ Fatuma na Rehema Ng’anzi nao walikuwepo kushow love kwa kaka yao Bwana Harusi Mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
Bwana harusi mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi (Katikati) akisalimia na baadhi ya wageni waliohudhuria kwenye hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki. Ng’anzi anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Zarina Madabida (MB) Aliyekaa akitunzwa na dada wa Bwana Harusi Mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
Mama mzazi wa Pharmacist Salum Ng’anzi, Mariam Ng’anzi akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Zarina Madabida (MB) wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.

HIZI NDIZO HOJA ZILIZOLENGA MASILAHI YA WANANCHI LEO BUNGENI MJINI DODOMA.
Jeshi la Polisi nchini limeombwa kuwahamisha kazi mara moja askari sita wanaodaiwa kuwanyanyasa wakuu wa Polisi wa Wilaya wanaohamishiwa katika mkoa wa Geita kutokana na uhusiano waliojijengea na baadhi ya watu wakiwemo wafanyabiashara wakubwa kutokana na kukaa katika eneo hilo kwa muda mrefu.
Akichangia hoja ya Makadirio ya Matumizi ya Ofisi ya Rais, Bungeni mjini Dodoma Mbunge wa Mkanyageni (CUF) MOHAMED HABIB MNYAA amesema askari hao sita wamekuwa kama miungu watu wanaoweza kuwaamrisha wakuu wao wa kazi ili kutimiza matakwa yao binafsi.
Katika hatua nyingine Mheshimiwa HABIB MNYAA ameiomba Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma kuhakikisha askari hao wanahamishwa kutoka kituo hicho cha kazi ili kutekeleza malengo ya Mkataba wa Utawala bora kazini unaotaka mfanyakazi asikae kwenye kituo kimoja zaidi ya miaka 20.![]()
Usalama wa Taifa kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa TAKUKURU wameomba kuchungusa ufisadi mkubwa wa urasimishaji ardhi uliofanywa na Kampuni ya Twiga Chemical Industial Limited na serikali kutakiwa shilingi bilioni tatu kama fidia ya kazi hiyo.
Mbunge wa Ubungo (Chadema) JOHN MNYIKA amesema fidia hiyo ya mazingira yasiyoeleweka imeainisha wananchi wa Kimara Baruti walio katika eneo la ekari nane waondolewe jambo ambalo ni kinyume na maamuzi ya Kamati ya deni la Taifa yaliyotolewa mwaka 2006.
Katika bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2011/2012 Kampuni hiyo ya Twiga Chemical Industial Limited imetengewa tena jumla ya shilingi Bilioni nne nukta tano kama fidia ya mazingira yasiyoeleweka.
Watendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU wameonywa kwamba taasisi hiyo haikuundwa kwa ajili ya wanasiasa na vigogo na badala yake ipo kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla.
MICHAEL LAIZER Mbunge wa Longido (CCM) amesema Bungeni Mjini Dodoma kwamba ingawa kuna ufujaji mkubwa wa fedha za miradi ya TASAF, Halmashauri, Manunuzi na Miradi hafifu lakini watendaji wa taasisi hiyo wamekuwa hawafuatilii kwa kina ubadhirifu huo.
Kutokana na hayo Mheshimiwa LAIZER amewaasa watendaji wa TAKUKURU kutojihusisha na vitendo vya kupokea rushwa ili kutouweka rehani usalama wa taifa.
Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imewaagiza Mawakala wa vipimo nchini kwa kushirikiana na vyombo vya dola kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wezi wanaowaibia wakulima wa pamba kwa kutumia mizani ya rula.
Akiwasilisha kauli za Mawaziri Bungeni mjini Dodoma Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara LAZARO NYALANDU amesema ingawa serikali iliruhusu matumizi ya mizani hiyo, imechukua hatua hiyo kudhibiti vitendo vya unyonyaji vinavyofanywa dhidi ya wakulima wa pamba.
Katika hatua nyingine Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara zitashirikiana katika mchakato wa kufanya tathimini ya mizani itakayotumika katika upimaji wa pamba katika msimu ujao.
Akichangia hoja ya Makadirio ya Matumizi ya Ofisi ya Rais, Bungeni mjini Dodoma Mbunge wa Mkanyageni (CUF) MOHAMED HABIB MNYAA amesema askari hao sita wamekuwa kama miungu watu wanaoweza kuwaamrisha wakuu wao wa kazi ili kutimiza matakwa yao binafsi.
Katika hatua nyingine Mheshimiwa HABIB MNYAA ameiomba Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma kuhakikisha askari hao wanahamishwa kutoka kituo hicho cha kazi ili kutekeleza malengo ya Mkataba wa Utawala bora kazini unaotaka mfanyakazi asikae kwenye kituo kimoja zaidi ya miaka 20.
Usalama wa Taifa kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa TAKUKURU wameomba kuchungusa ufisadi mkubwa wa urasimishaji ardhi uliofanywa na Kampuni ya Twiga Chemical Industial Limited na serikali kutakiwa shilingi bilioni tatu kama fidia ya kazi hiyo.
Mbunge wa Ubungo (Chadema) JOHN MNYIKA amesema fidia hiyo ya mazingira yasiyoeleweka imeainisha wananchi wa Kimara Baruti walio katika eneo la ekari nane waondolewe jambo ambalo ni kinyume na maamuzi ya Kamati ya deni la Taifa yaliyotolewa mwaka 2006.
Katika bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2011/2012 Kampuni hiyo ya Twiga Chemical Industial Limited imetengewa tena jumla ya shilingi Bilioni nne nukta tano kama fidia ya mazingira yasiyoeleweka.
Watendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU wameonywa kwamba taasisi hiyo haikuundwa kwa ajili ya wanasiasa na vigogo na badala yake ipo kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla.
MICHAEL LAIZER Mbunge wa Longido (CCM) amesema Bungeni Mjini Dodoma kwamba ingawa kuna ufujaji mkubwa wa fedha za miradi ya TASAF, Halmashauri, Manunuzi na Miradi hafifu lakini watendaji wa taasisi hiyo wamekuwa hawafuatilii kwa kina ubadhirifu huo.
Kutokana na hayo Mheshimiwa LAIZER amewaasa watendaji wa TAKUKURU kutojihusisha na vitendo vya kupokea rushwa ili kutouweka rehani usalama wa taifa.
Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imewaagiza Mawakala wa vipimo nchini kwa kushirikiana na vyombo vya dola kuwakamata na kuwachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wezi wanaowaibia wakulima wa pamba kwa kutumia mizani ya rula.
Akiwasilisha kauli za Mawaziri Bungeni mjini Dodoma Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara LAZARO NYALANDU amesema ingawa serikali iliruhusu matumizi ya mizani hiyo, imechukua hatua hiyo kudhibiti vitendo vya unyonyaji vinavyofanywa dhidi ya wakulima wa pamba.
Katika hatua nyingine Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara zitashirikiana katika mchakato wa kufanya tathimini ya mizani itakayotumika katika upimaji wa pamba katika msimu ujao.
SHUHUDIA MAZOEZI YA PIKIPIKI KWENYE VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS KAWE JIJINI DSM!
Mwendesha Pikipiki wa Kambi ya Kinondoni, Ludan Volvo, akionyesha mbwembwe za kutembea na tairi moja wakati wachezaji wa mchezo huo walipokuwa katika mazoezi ya kawaida ya kujiweka fiti kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waendesha Pikipiki, Adil Othman (mbele) akichuana na Ludan Volvo, wakati wa mazoezi yao ya kujiweka fiti kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Adil ni mtaalam wa kutumia Pikipiki yenye matairi manne aina ya Quad Bike na Volvo ni mtaalam katika pikipiki ya matairi mawili, hapa wakionyeshana ujuzi.
Waendesha Pikipiki wakianza mwendo kwa pamoja wakati wakishindana katika mazoezi yao ya kujiweka fiti kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita.Mwendesha Pikipiki, Adbul, akiwa hewani baada ya kuruka Tuta, wakati wa mazoezi ya waendesha Pikipiki yaliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam.
Mwendesha Pikipiki, Ludan Volvo, akiwa hewani baada ya kuruka Tuta, wakati wa mazoezi ya waendesha Pikipiki yaliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam.
MAKAMU WA RAIS USO KWA USO NA MAALIM SEIF SABASABA BAADA YA KUZINDUA GS 1!
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati walipokutana kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere katika Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa leo Julai 04, 2011.
![]()
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Mohammed Gharib Biala, akisikiliza maelezo ya mjasiliamali, Angela John, kuhusu mashine ya Kusokota, wakati alipotembelea katika Banda la Sido kwenye Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.![]()
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Power Electronics & Controls Ltd, Kayungi Kayungi, kuhusu Mashine ndogo inayozalisha Umeme kwa kutumia maji, wakati alipotembelea Banda la Sido kwenye Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Mohammed Gharib Biala, akisikiliza maelezo ya mjasiliamali, Angela John, kuhusu mashine ya Kusokota, wakati alipotembelea katika Banda la Sido kwenye Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Power Electronics & Controls Ltd, Kayungi Kayungi, kuhusu Mashine ndogo inayozalisha Umeme kwa kutumia maji, wakati alipotembelea Banda la Sido kwenye Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
HII NDIO SAFU KAMILI YA REDS MISS ILALA 2011
Warembo wafuatao kutoka katika katika vituo viwili vya Dar City Centre na Tabata wamefanikiwa kupitishwa na Kamati ya Miss Ilala kuingia kwenye kambi ya Miss Ilala inayo anza tarehe 4 Julai 2011. Warembo watakutana katika hotel ya Lamada Jumatatu saa nne kwa kwa ajili ya semina na kukamilisha taratibu zote za usaili ikiwa ni pamoja na kuingia mikataba na Dar Metropolitan promotions.
1. Jenifer Kakolaki, 12. Alexia William
13. Patricia Kajubi
3. Salha Israel 14. Lilian Paul
4. Diana John 15. Judith Mlingwa
5. Nasra Salim 16. Cresencia Haule
6. Godliver Mwashamba 17. Williet Wilson
7. Faizal Ally 18. Priscilla Mchemwa
8. Augostina Mshanga 19. Ritha Cuthbert
9. Lilian Bryceson 20. Maria John
10. Lilian William 21. Edna Mnada
11. Mariam Manyanya
Shindano la Redds Miss Ilala 2011 linategemewa kufanyika siku ya Vunja jungu katika ukumbi ulioko katikati ya jiji la Dar es salam.
Mpaka sasa hivi wadhamini waliojitokeza kudhamini Shindano hilo ni Redds Original inayozalishwa na kiwanda cha Tanzania Breweries Limited ambao ndio wadhamini wakuu, wengine ni Vodacom Tanzania, Tanzania Standard Newspapers, Fabak Fashion, TV Sibuka, Maisha Club, na 88.4 Clouds FM na Paris Pub ya Tabata.
Watakapokuwa kambini warembo watajifunza mambo mbali mbali yanayohusu mashindano ya urembo, mambo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kibiashara. Pia watajifunza namna ya kujitunza kama wasichana na kufanya shughuli za kijamii. Warembo pia wanategemewa kufanya michezo mbali mbali, kuonyesha vipaji na kufanya ziara ya kitalii.
Jackson M. Kalikumtima

BALOZI WA UJERUMANI DK GUIDO HERZ AMUAGA MAKAMU WA RAIS!
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dkt. Guido Herz, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 04, 2011 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini.![]()
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dkt. Guido Herz, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 04, 2011 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Juhan Toivonen , wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 04, 2011 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Balozi wa Finland nchini Tanzania, Juhan Toivonen , wakati alipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 04, 2011 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini. Picha Zote na Muhidin Sufiani-OMR
MABALOZI WA FINLAND NA GERMANY WAMUAGA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL IKULU LEO JUMATATU JULAI 04, 2011
Mabalozi wa nchi za Finland na Ujerumani leo wamefanya ziara katika ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga huku kwa pamoja wakielezea kubakia na kumbukumbu ya namna Watanzania wanavyoishi na walivyowathamini wakati wakifanya kazi za kidiplomasia hapa nchini.
Wa kwanza kufika ofisini kwa Makamu wa Rais alikuwa Balozi Juhan Toivonen kutoka Finland ambaye aliisifia Tanzania na kumzawadia Makamu wa Rais Kitabu cha “The Great Savanna” kitabu kilicho na vivutio kadhaa vya utalii nchini Tanzania ambacho kilichapishwa kwa Kifini na kisha kutafriwa kwa Kiingereza. Balozi huyo alimuahidi kutoa kopi nyingine za kitabu hicho zipatazo 9,000 kwa Makamu wa Rais ili zisambazwe kwa wadau wa utalii nchini.
Kwa upande wake Makamu wa Rais licha ya kumshukuru Balozi Toivonen, alifafanua kuwa uhusiano wa Finland na Tanzania ni wa siku nyingi na wenye tija nchini na kwamba historia inaonyesha kuwa katika fani ya Jiolojia, nchi ya Finland imesaidia sana katika kutanua rasilimali watu hapa nchini.
Katika hatua nyingine Balozi huyo alitaka kujua namna Tanzania inavyomudu kutanua demokrasia kulinganisha na mataifa mengine ya Afrika na Makamu wa Rais akamjibu kuwa, hali hii inatokana na mahusiano chanya kati ya serikali na wananchi na akatilia mkazo juu ya uongozi uliotukuka wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere hasa katika vigezo vya kujenga ushirikiano na hali ya kukubaliana kama Watanzania.

Subscribe to:
Posts (Atom)