Friday, November 4, 2011

SHOPPING FESTIVAL TO BE HELD DURING SWAHILI FASHION WEEK 2011!

Kama utapenda kununua au kuuza kitu chochote kutoka Swahili Fashion Week, unaweza kufanya hivyo kupitia eneo la manunuzi wakati na baada ya maonesho,


KWAHIYO KAMA UTAPENDA KUPATA NAFASI YA KUUZA VITU WAKATI WA MAONESHO YA SWAHILI FASHION WEEK TAFADHALI HIFADHI NA TENGENEZA ENEO LAKO SASA.


Kwa maelezo zaidi piga kwa: Hamis K Omary, 0719252628, 0787747918.

No comments:

Post a Comment