Monday, October 31, 2011

WAZIRI WASIRA AZUNGUMZIA MGOGORO WA KISIASA ARUSHA!

MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, Mlezi wa mkoa wa Arusha, Stephen Wasira akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, Martine Shigella.

No comments:

Post a Comment