Tuesday, January 17, 2012

MWANA-CCM ALIYEMWAGIWA TINDIKALI IGUNGA AREJEA NCHINI BAADA YA MATIBABU INDIA!

MKAZI wa Igunga, Kada wa CCM, Mussa Tesha aliyekuwa katika matibabu India baada ya kumwagiwa tindikali usoni na watu wanaodaiwa kuwa wa CHADAEMA, wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo mwaka jana, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam, baada ya kurejea nchini. Kulia ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa Meneja wa Kampeni za CCM jimboni humo.

               Sura ya zamani ya Tesha kabla ya kukumbwa na athari za kumwagiwa tindikali.

No comments:

Post a Comment