Wednesday, October 5, 2011

KASEBA HAWA BINGWA WA NGUMI ZA KULIPWA NCHINI!

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Iddy Azani akiwa na mkanda wa ubingwa unaotambuliwa na chama cha mchezo wa ngumi za kulipwa PST bondia Japhet Kaseba baada ya kumtwanga Maneno Oswald kwa Point jijini Dar es salaam jana.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment