Sunday, August 14, 2011

VODACOM MISS TANZANIA WAKIWA NJIANI KUELEKEA MOSHI!

Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha katika daraja la mto Wami, Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. 
Baadhi ya warembo wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga wenye furaha baada ya kuvuka mto Wami , Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, Loveness Flavian akizungumza na waandishi wa habari katika mji wa Chalinze Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini. Warembo hao 30 walisimama kwa muda Chalinze kusalimiana na wananchi.
Baadhi ya washiriki shindano la kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2011, wa kipiga picha na kusalimiana na vijana wa Chalinze Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.Warembo hao 30 walisimama kwa muda Chalinze kusalimiana na wananchi. (Picha na Mpigapicha wetu).

No comments:

Post a Comment