Monday, August 22, 2011

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA BAADA YA WAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA KUREJEA KAMBINI, HII NI SIKU YA FAMILIA!



Jana ilikuwa ni siku ya warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania kutembelewa na ndugu na jamaa zao kutoka sehemu mbalimbali ambapo waliwatembelea katika hoteli ya Girrafe iliyopo Mbezi pia walipata nafasi ya kucheza muziki na kundi la wanne star.

No comments:

Post a Comment