Monday, June 27, 2011

NNAUYE AFANYA ZIARA YA KISIASA LINDI MJINI KUANDIKISHA WANACHAMA!

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimkabidhi kabrasha la kuorodhesha wanachama, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mtanda, wilaya ya Lindi Mjini, Issa Malocho,alipofanya mkutano wa wajumbe wa mashina, katika ukumbi wa oceanic View, mjini Lindi. Jumla ya Kata 18 zilipewa fomu hizo kwa ajili ya kuorodhesha wanachama wa CCM katika maeneo yao.
Nape akisakata muziki na vijana wa kikundi cha sanaa cha mjini Lindi katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika leo, kwenye uwanja wa Fisi mjini Lindi.
Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah Juma akihutubia umati wa watu katika mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Uwanja wa Fisi mjini Lindi.

No comments:

Post a Comment