Sunday, June 26, 2011

MBUNGE CUF AMSHANGILIA NAPE MKUTANONI, MWINGINE AMWAGA MACHOZI KWA KUGUSWA NA HOTUBA!


MBUNGE wa Kilwa Kusini mkoani Lindi, Selemani Bungara maarufu kwa jina la Bwege (kulia) akishangilia pamoja na wengine, wakati Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko, juzi. (Picha na Bashir Nkoromo)
Katibu wa NEC, Oganaizesheni, CCM, Asha Abdallah Juma, akimnyamanzisha Asha Likalangala, aliyekuwa akiangua kilio baada ya kuguswa na maneno wakati Katibu wa NEc Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Mkapa garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi.

No comments:

Post a Comment