Thursday, May 12, 2011

KAMPUNI ZALEGALEGA KUINGIA KWENYE CHAMA CHA TUICO!

Baadhi ya Taasisi na Makampuni nchini bado yamekuwa magumu kuingia mikataba ya kuwa wanachama wa kudumu kwenye chama cha wafanyakazi hapa nchini (TUICO).


Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi TUICO, BWANA PELES JONATHAN amesema hayo wakati wa kutiliana saini ya mkataba wa kuwa mwanachama kwa wafanyakazi wa BANK ya CRDB.

Aidha mkurugenzi mkuu wa CRDB DKT. CHARLES KIMEI amesema kwa kutambua thamani ya rasilimali watu imeona ni muhimu kujenga mazingira mazuri ya wafanyakazi wake hasa usalama mahala pa kazi.

No comments:

Post a Comment