![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Bi. Betty Mkwasa mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Dodoma leo January 10, 2012 |
![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo |


No comments:
Post a Comment